Ardhi Ya Serikali Ya Ekari 21 Yanyakuliwa Na Watu Binafsi Kimana by Kajiado News Update April 2, 2024 0 NA ISAAC SAYIOKI Mzozo wa ardhi umeibuka upyia katika kijiji cha enchoro-Enkai Wadi ya Kimana eneo bunge la Kajiado Kusini. Hii ni baada ya wakazi kulalama pakubwa kuhusu kukatwa kwa ...