Home » Can Nakeel Primary School Answer These Disturbing Questions From A Parent?
News

Can Nakeel Primary School Answer These Disturbing Questions From A Parent?

Mimi ni Mzazi katika shule hii ya Nakeel Primary School, Ongata Rongai, na ninauliza management board ya hiyo shule maswali haya;

Nakeel Primary School, Ongata Rongai.

Kwani hamjui kazi  yenu?

Huyo watchman wenu ndio disciplinary master?

Inakuwaje ananyanganya mtoto wangu vitabu juu ya makosa haifai na nikileta malalamishi kwa shule mwajifanya hamjui?

Kwanzia lini watchman akapewa authority ya kufukuza wanafunzi.

Kwani mwanafunzi akiwa absent kazi  ya class teacher ni nini ndio mwalimu ajifanye hajui chochote?

Inakuwaje kioo moja inapasuka then mnaekelea wanafunzi saba walete vioo mbili kila mmoja na shilingi mia tano?

Mbona mzazi akitaka kufanya repair hamtaki. Eti  watchman akisema ndio final?

Unakuwaje mwanafunzi anapewa punishment ya kung’oa nyasi kwa kutumia mikono tupu hadi  vidole vinavuja damu na hamjali, huu ni ubinadamu kweli?

Watchman akinyanganya mtoto vitabu na hakuna mtu kwa nyumba,mna  expect mwanafunzi na ni msichana aende wapi?

Na hizo  vitabu zingine ni za shule zikipotea nani   atalipa ama bado itakuwa ni kisima mmepata cha kuchotea maji?

In fact am pissed off.

Ama juu sina mzee  ndio mwanisumbulia mtoto hivyo?

Kilio cha mnyonge kitaskizwa na nani?

Sasa nitapeleka malalamishi yangu wapi?

Natamani nilipe mtu pesa anifanyie kazi hapa?

Someone help kabla nichukue sheria mkononi.

Liz Mambo’s profile picture on facebook.

 

Mzazi Liz Mambo – Ongata Rongai

 

 

Comments

comments

Add Comment

Click here to post a comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Proud Members

BraIT Designs

%d bloggers like this: